Skip to main content

#Najifunza 04; Liko kundi nyuma yako linakufuatilia vile unavyoenenda(mwenendo)


Nyuma Yako liko kundi kubwa sana  la watu wanaojifunza kutoka kwako,  Yaani wanafuata vile wewe unavyofanya .
Ukifanya , nao wanafanya na Usipofanya nao hawafanyi pia
Ki-ufupi wewe Ni Kiongozi wa Kundi kubwa sana La Watu USILOLIJUA .

Hivyo pale unapoacha kufanya Kile ulichoanza kufanya,  Unapo KATA TAMAA ,  na wao pia wanashindwa kuendelea kwa sababu  kiongozi wao  umekata Tamaa.

Usikate Tamaa,  Usivujike Moyo na Kurudi Nyuma ,  Kwani lipo Kundi kubwa  La watu usilolijua wanaanguka baada Ya wewe KUKATA TAMAA.

Usikate Tamaa , Songa Mbele na Fanya Kiume Uwe Hodari Kwa FAIDA YAKO na WALE WOTE WANAOJIFUNZA KUTOKA KWAKO( KUNDI KUBWA LA WATU USILOLIJUA ) .

Kabla Hujakata TAMAA, Kurudi Nyuma na Kuacha Kabisa KUMBUKA hili , itakusaidia Kuendelea Mbele zaidi.

Kwa kuwa lipo kundi kubwa linakufuatilia, fanya vile bora na kwa umakini wa hali  ya juu sana.
Usikate tamaa, Songa mbele kwa ajili ya Faida ya Wengine, hata kama unataka kukata  usifanye hivyo kwa sababu unakwenda kuangusha kundi kubwa la watu


#Najifunza. 
_____________________________________
Makala hii imeandikwa na ; 
Joshua Golyama, ambaye ni Mwalimu, Mtaalamu wa Kilimo na Mifugo, Mhamasishaji Wa Mafanikio na Mwandishi.

+255 764 257 495 / +255 622 163 323
Barua pepe; golyamajoshua@gmail.com

Blogu; elimukitaa2020.blogspot.com


Comments

Popular posts from this blog

AGRICULTURE 101; KILIMO CHA TEMBELE

Habari   rafiki   mpendwa , Karibu   sana   katika   Makala   hii   Ya   Kilimo   na   Ufugaji Na   leo   tunakwenda   kuangalia   kuhusiana   na   Kilimo   Cha   Tembele. Mboga   nzuri   sana   na   inayopenda   na  kutumiwa   na    watu   wengi   sana   duniani Makala   hii   itakuwa   na   Sehemu/Vipengele   vifuatavyo; 1.Utangulizi 2.Aina za Tembele 3.Faida za Kiafya zitokanazo na Tembele 4.Namna Ya Kuandaaa Shamba 5.Kupanda 6 Kuvuna Karibu     sana    tujifunze   kuhusu    tembele. Kilimo cha tembele Kitaalamu    tembele   hujulikana   kama  ...

NAMNA YA KUANZA UPYA

  Kuanza upya ni jambo zuri ambalo linawezekana katika maeneo mengi ya maisha yetu, iwe ni kazi, uhusiano, au malengo binafsi. Hapa kuna hatua kadhaa unazoweza kuchukua kuanza upya: 1. Tathmini hali ya sasa Anza kwa kufanya tathmini ya hali yako ya sasa.  Jiulize maswali kuhusu maeneo gani unataka kuboresha au kubadilisha. Je, kuna mambo yanayokukwamisha au kukuzuia kufikia malengo yako? Kuelewa hali yako ya sasa ni hatua muhimu katika kuanza upya. 2. Weka malengo Weka malengo wazi na sahihi. Fikiria kwa kina kile unachotaka kufikia na kuamua hatua za kuifikia.  Malengo yako yanapaswa kuwa ya kusisimua, lakini pia yapaswa kuwa ya kufikika na yanayopimika.  Andika malengo yako na uwaeleze kwa uwazi. 3. Panga mpango wa utekelezaji Panga mpango wa vitendo wa jinsi utakavyotekeleza malengo yako. Tambua hatua ndogo na za kivitendo unazoweza kuchukua ili kufikia malengo yako.  Kwa kila hatua, weka muda uliopangwa na rasilimali zinazohitajika. 4. Jifunze kutokana na uz...

KURASA 02; Kijue kile unachokipenda na ukifanye hicho.

Upo   usemi   unaojulikana   sana  katika mahusiano  ya  kimapenzi  "Ukipenda  Utakitunza" huu  ni  usemi  ambao  unatumika  sana  katika masuala  ya  mahusiano; Ikiwa   na   maana hii, kwamba  kama  Kijana  anampenda   Binti  (kijana wa kike)  atatumia  kila namna   kuhakikisha  Binti  yule  anakuwa  katika hali nzuri , kwa   maana   ya  kumpendezesha  na  mambo  mengine  mengi  yanayofanana  na  hayo. Usemi huu,  una  ukweli  sana  katika  maisha  ya   kila  siku, na   pengine  huwa  tunautumia  msemo huu  bila  ya   kujua  kama zinaweza  kutusaidia katika   maisha   yetu   ya   Kila  si...