Skip to main content

KARIBU KATIKA PROGRAM YA ELIMU KITAA(LEARNING SITE)

 Elimu Kitaa Foundation inakukakaribisha Katika Program ya Elimu Kitaa

Habari ya kwako rafiki yangu. Bila shaka uko vizuri na unaendelea vyema na majukumu ya kila siku.

Naitwa Joshua Golyama  mwanafunzi wa Shahada ya awali ya Sayansi ya Kilimo kwa Ujumla(Bsc.Agriculture General) kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine Cha Kilimo (SUA

                                      

Mwanzilishi wa Program inayoitwa ELIMU KITAA.

Leo ninapenda kukuletea maeneo mbalimbali ambayo unaweza yatembelea na tukajifunza pamoja na mimi.

Maeneo hayo utapata nafasi ya kusoma makala ambazo ninaziandika kila siku na kuziweka humo, na tukajifunza kwa pamoja na kupata maarifa zaidi na zaidi.

Kwanza kabisa nikupe utangulizi wa maana halisi ya Neno hili ELIMU KITAA.

Elimu Kitaa ni program inayohusika na kuandika makala mbalimbali katika mitandao ya Kijamii na kuandaa semina mbalimbali zenye kutupa maarifa muhimu sana katika maisha yetu.

Na Katika Program hii ya Elimu Kitaa  tunasimamia hapa HEKIMA, MAARIFA na UFAHAMU ; Wekeza na Saidia Wengine 

Lengo kuu ni Kufundisha na kuwawezesha watu kutambua Uwezo binafsi na KUSUDI LA MUNGU  maishani mwao.

Hivyo nikukaribishe sana rafiki yangu kujiunga na program hii nzuri kabisa ya kujifunza. 

Na unaweza kujifunza kupitia maeneo yafuatayo 

1. Tembelea ukurasa wa Facebook unaoitwa ELIMU KITAA.Tumia kiungo  hiki kuitembelea na kujifunza  zaidi.

Fb.me/elimukitaa2020

2. Tembelea ukurasa mwingine wa Facebook unaoitwa Maneno Ya Ushindi, Huku unajifunza mambo ya kiroho zaidi na Kujifunza Neno La Mungu.

Tumia kiungo  hiki kuutembelea na kujifunza pia. Fb.me/manenoyaushindi

3. Tembelea ukurasa wa Facebook unaoitwa Joshua E Golyama. Unaweza kuutembelea kwa kutumia kiungo  hiki Fb.me/JGolyama  na tumia kiungo hiki pia kuona makala zaidi https://www.facebook.com/joshua.golyama.18

4. Blogu ya Elimu Kitaa ambako unajifunza mambo mengi kwa uzuri zaidi. Tembelea blogu hiyo kwa kutumia kiungo hiki elimukitaa2020.blogspot.com.

5. Tembelea pia Mtandao wa Kijamii wa Instagram  kupata makala nzuri sana za kukusaidia kukua na kuyafahamu mambo mengi pia.

Tumia kiungo hiki kuingia https://www.instagram.com/p/CJkmZqNBspL/?igshid=1hmdcz961630u

6. Kujiunga na group la Whatsapp la Elimu Kitaa, tumia kiungo hiki kujiunga na  group letu https://chat.whatsapp.com/DDFbrNcx1dwFlcovU7cF6B

7. Mwisho Tembelea na kujifunza katika blogu nyingine mpya kabisa ya Kujifunza Neno La Mungu, inayoitwa MANENO YA USHINDI kwa kutumia kiungo hiki. manenoyaushindi.blogspot.com

MWISHO; Unaweza kuwasiliana nami kwa Njia ya  sms au  Whatsapp kwa namba hizi 0764 257 495

BARUA PEPE; golyamajoshua@gmail.com

Au elimukitaa2020@gmail.com

Karibu sana ndugu yangu, tujifunze Pamoja.

 Joshua Golyama

(Mwandishi | Mhamasishaji | Mwalimu | Blogger


See You Shining And Enjoying The cake


#ElimuKitaa   #Najifunza.

Comments

Popular posts from this blog

NAMNA YA KUANZA UPYA

  Kuanza upya ni jambo zuri ambalo linawezekana katika maeneo mengi ya maisha yetu, iwe ni kazi, uhusiano, au malengo binafsi. Hapa kuna hatua kadhaa unazoweza kuchukua kuanza upya: 1. Tathmini hali ya sasa Anza kwa kufanya tathmini ya hali yako ya sasa.  Jiulize maswali kuhusu maeneo gani unataka kuboresha au kubadilisha. Je, kuna mambo yanayokukwamisha au kukuzuia kufikia malengo yako? Kuelewa hali yako ya sasa ni hatua muhimu katika kuanza upya. 2. Weka malengo Weka malengo wazi na sahihi. Fikiria kwa kina kile unachotaka kufikia na kuamua hatua za kuifikia.  Malengo yako yanapaswa kuwa ya kusisimua, lakini pia yapaswa kuwa ya kufikika na yanayopimika.  Andika malengo yako na uwaeleze kwa uwazi. 3. Panga mpango wa utekelezaji Panga mpango wa vitendo wa jinsi utakavyotekeleza malengo yako. Tambua hatua ndogo na za kivitendo unazoweza kuchukua ili kufikia malengo yako.  Kwa kila hatua, weka muda uliopangwa na rasilimali zinazohitajika. 4. Jifunze kutokana na uz...

AGRICULTURE 101; KILIMO CHA TEMBELE

Habari   rafiki   mpendwa , Karibu   sana   katika   Makala   hii   Ya   Kilimo   na   Ufugaji Na   leo   tunakwenda   kuangalia   kuhusiana   na   Kilimo   Cha   Tembele. Mboga   nzuri   sana   na   inayopenda   na  kutumiwa   na    watu   wengi   sana   duniani Makala   hii   itakuwa   na   Sehemu/Vipengele   vifuatavyo; 1.Utangulizi 2.Aina za Tembele 3.Faida za Kiafya zitokanazo na Tembele 4.Namna Ya Kuandaaa Shamba 5.Kupanda 6 Kuvuna Karibu     sana    tujifunze   kuhusu    tembele. Kilimo cha tembele Kitaalamu    tembele   hujulikana   kama  ...