FAHAMU KUHUSU PARACHICHI NA UMUHIMU WAKE MWILINI Habari yako mpendwa, Ni matumaini yangu kwamba u mzima na waendelea vyema na maisha ya kila siku, huku ukitafuta na kunia kufikia mafanikio makubwa sana maishani mwako. Karibu sana tuweze kujifunza kuhusu Afya, na leo tunaangalia tunda linaloitwa parachichi pamoja na umuhimu katika mwili wa Mwanadamu. Miongoni mwa vyakula vinavyohitajika ili kukamilisha mlo kamili ni MATUNDA, matunda hutupatia faida nyingi sana katika miili yetu .Yapo matunda mengi sana na yote yana faida kubwa sana katika Mwili wa Mwanadam. Leo tunakwenda kufahamu kiundani kuhusu Parachichi na faida zake katika Mwili wa Mwanadamu. Karibu sana ndugu yangu tujifunze na tuanze kulitumia tunda hili baada ya kujua faida nyingi tuzipatazo wakati tunatumia tunda hili Parachichi (avocado) Persea americana Tunda aina ya parachichi hujulikana kama embefuta kwa sababu limejaa mafuta yenye faida nyingi sana katika afya ya mwan...
Hekima, Maarifa na Ufahamu Wekeza Saidia wengine